Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya kumbukumbu ya Shahidi Hojjat al-Islam wal_Muslimina, Syed Hashim Safiyyudiyn, Mkuu wa Baraza Kuu la Utendaji la Hezbollah nchini Lebanon, ilifanyika kwa kuhudhuriwa na kundi la Mashia wa Kirusi katika Kituo cha Kiislamu cha Moscow, Mji Mkuu wa nchi hii.
27 Oktoba 2024 - 07:38
Msimbo wa Habari: 1498552